UNIVERSITY OF NAIROBI
FACULTY OF VETERINARY MEDICINE
DEPT. OF PUBLIC HEALTH, PHARMACOLOGY & TOXICOLOGY
P.O. BOX 29053, NAIROBI
TEL. 020-4916015.
UTOAJI HUDUMA KWA WATEJA
KUJITOLEA KUTOA HUDUMA
HUDUMA |
MAHITAJI |
GHARAMA |
MUDA |
Kufundisha kwa wahadhiri wa chuo |
Kupasishwa kwa wakati wakusomesha |
Hakuna malipo |
Kwanzia siku ya kwanza yam hula hadi wiki ya kumi na tatu ya muhula |
Uchunguzi |
Utawala, kuashiria na usindikaji mitihani |
Hakuna malipo |
Wiki mbili za mwisho wa kila muhula |
Safari za kitaaluma za wanafunzi |
Kupeanwa kwa mbajeti na ratiba za kusomesha kutoka kwa msimamizi |
Kulingana na idadi ya wanafunzi na wafanyikazi |
Wiki tatu baada ya kuanza kwa mhula |
Kupeanwa kwa mitihani ya majaribio na matokeo kujumulishwa |
Makaratasi ya mitihani ya majaribio na matokeo |
Hakuna malipo |
|
Kuwasilishwa kwa makaratasi ni baada ya matokeo kujumulishwa |
Matokeo ya mwisho kupelekwa kwa ofisi ya mkuu wa kitivo ) |
Hakuna malipo |
Wiki moja baada ya bodi ya mitihani ya idara kupitisha |
Kukagua vitabu vilivyo na ripoti za wanafunzi walio hitimu |
Vitabu vya ripoti |
Kulingana na ratiba |
Wiki mbili baada yakupata ripoti hizo |
Usimamizi wa uzamili hoja |
Hoja |
Kulingana na ratiba |
Wiki mbili baada ya kupata ripoti hizo |
Usimamizi wa hoja marekebisho na utoaji wa cheti cha marekebisho |
Wanafunzi kufanya marekebisho |
Hakuna malipo |
Kulingana na miongozo |
Kushughulikia kesi za nidhamu za wanafunzi na wafanyi kazi |
Kesi hizo kuamuliwa na kupelekwa kwa mkuu wa kitivo |
Hakuna malipo |
Masaa arubaini na nane baada ya tukio |
Kupewa kibali kwa wanafunzi |
Sababu au kiini cha wanafunzi |
Hakuna malipo |
Siku mbili |
Ripoti ya mfanyi kazi kulingana na utendaji kazi wake |
Fomu za utendaji kazi kufailiwa |
Hakuna malipo |
Ndani ya mwezi wa kumi na wa tatu wa mwaka wakusoma |
Jibu kwa utaratibu |
Simu rasmi za ofisi |
Hakuna malipo |
Ndani ya sekunde ishirini |
Jibu kwa utaratibu |
Mawasiliano kutoka kwa ofisi ya mkuu wa idara |
Hakuna malipo |
Ndani ya siku saba ya ripoti |
Huduma kutoka kwa maabara |
|
Kulingana na ripoti kutoka kwa maabara na jinsi inavyositahili kulipwa |
Kulingana na utafiti unavyofanywa.
|